Ads (728x90)

Hili sio handaki ni shimo linalohifadhi maji machafu kutoka katika choo kilichopo uwanjani humo ambacho huhudumia watazamaji 20,000



Kumradhi wasomaji hii ndiyo hali halisi ya uwanja tusipofanya hivi hawawezi kuuboresha, tunachojiuliza mapato yanafanya kazi gani


Hili sio jalala la taka bali ni moja ya eneo lililopo katika uwanja wa Sokoine.
Dimba la Sokoine linavyoonekana katikati


Hiki ndicho choo kinachotumika uwanjani



Mifereji ya maji machafu inatiririka kila kukicha nje ya uwanja huo na kutishia afya ya wakazi waishio katika vyumba vya uwanja huo.




Vipo pia vichaka ambavyo wahuni wanaweza kutumia kwa ajili ya kujificha kabla ya mechi

Moja ya mageti ya kuingilia uwanjani upande wa mashariki ya uwanja

Mashabiki wakiwa wameketi katika moja ya majukwaa ya uwanja huo baada ya kulipa viingilio

Mashabiki wakishangilia moja kati ya mechi katika uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya

Sehemu ya umati wa watazamaji wanaoingia uwanjani kushuhudia mechi za Ligi kuu

Umati wa watazamaji wanaoingia kwa ajili ya mechi kubwa katika uwanja huo

Vitega uchumi vinavyouzunguka uwanja huo

Lango kuu la kuingilia uwanjani ambalo hutumika pia kwa ajili ya magari

Baadhi ya nyumba za biashara zinazozunguka uwanja ambazo ni sehemu ya mapato ya uwanja huo

Shimo la maji machafu, mbele ni  choo ambacho kinachokidhi watazamaji 20,000 wanaoingia uwanjani

Post a Comment