
MILIO ya risasi,harufu ya mabomu ya machozi na wananchi kuharibu magari ya serikali ilikuwa ndiyo mandhari ya mji mdogo wa Tunduma uliopo mp...
Burudika, Habarika, Elimika
MILIO ya risasi,harufu ya mabomu ya machozi na wananchi kuharibu magari ya serikali ilikuwa ndiyo mandhari ya mji mdogo wa Tunduma uliopo mp...
Jiji hili zamani liliitwa Mzizima . Sultani Seyyid Majid wa Zanzibar ndiye aliyelipa jiji hili jina "Dar es Salaam" linalotoka...
Wakati wa utawala wa Zanzibar ilikuwa makao ya liwali ya Sultani kwa ajili ya pwani la kusini la Tanganyika ikichukua nafasi ya Kilwa Ki...
Aprili 1888 Sultani wa Zanzibar alikodisha eneo la pwani kwa Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki walioanzisha makao makuu yao Bag...
Haya ni baadhi ya magofu na mabaki ya msikiti wa kale huko Kilwa ni miongoni mwa miji ya kale zaidi duniani na ni dola ya kwanza katika Afri...
Waiona hiyo Mandhari yakhee!!!! huu ndio ufukwe wa zinjibari ulivyo kama unavyoonekana kupitia angani nyakati za Magharibi, ni mandhari ina...
Mwanamke huyu mwenye majina lukuki ndiye anayedaiwa kuwa Tapeli zaid hapa nchini, kulia kwa mwanamke huyu ni Kamanda wa Kanda maalumu ya Po...
Vijana hawa wadogo wenye umri wa kuwepo shuleni wakiwa katikaa harakati za kuosha magari barabarani na kupewa ujira kidogo kutoka kwa mweny...
Pichani ni Alhaj Ali Hassan Mwinyi(rais mstaafu awamu ya pili na Sheikh Gorogosi mwenye miwani) wakiwa katika moja ya ibada za swala ya ...
Nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya sabini, kuna wimbo mmoja maarufu nilikuwa naupenda sana kuuimba, ulikuwa ukiitwa ''Dont Stop Till ...
Unaiona hatari hii?huyu mtoto anapandishwa katika gari hii aina ya TOYOTA huku ikiwa katika mwendo!!!!
WAZIRI MKUU NA BAJETI YA WIZARA YAKE BUNGENI JANA
Mambo ya mtandao yanapopamba moto, hapa fundi maarufu kwa uingizaji wa nyimbo katika simu jijini Mbeya aliyefahamika kwa jina moja la Haida...
Gari hili aina ya Fuso lenye namba za usajili T 855 ACJ likiwa limepinduka baada ya kugongwa na lori lenye namba za usajili T463 AJW na tel...
Misukosuko ya Maisha humfanya mtu kuhisi kuna maadui wanamzunguka!!!!, bali ndiyo aina ya maisha ili dunia iende, mara zote binadamu hudhani...
Vijana hawa wa skauti walivumilia wee wakaona loo wanaweza kufa kwa kiu wakaamua kunywa maji kwa kutumia midomo yao katika bomba iliyopo ji...
Unapolala na kuamka salama ukajiona wewe umekula na kusaza na vingine kutupia jalalani, unajiona mjaanja kweli,umesahau kwamba kuna binadamu...
Unamuona huyu mama hapa?unaiona hii ndoo ya Plastiki ya katikati? unaouona huo mstari mweusi katika ndoo hiyo?...Basi hiyo alama nyeusi ni ...
Ewe ndege wa thamani tulia mwako tunduni, usirukeruke mitini!!! utaingia mtegooni!!,RANGI yako ya kijaani na mwili wako laini!!!itunze yako...
Hawa ni baadhi ya wanamazingira waliotembelea katika Bonde la Ihefu kutathmini hali ya chepe chepe baada ya kuondolewa kwa wafugaji wilayan...
Duu!!! hawa watoto!!! sijui ndio wako katika pozi baada ya kufanya kibarua cha kubeba mawe au wamebarizi kupunga upepo!!! hapa ni katika ki...
Wanafunzi hawa wakijipatia maji katika chemi chemi kufuatia shida ya maji shuleni kwao sijui kama hawajaugua ugonjwa wa matumbo!!
Tunapozungumzia Fasihi, tunazungumzia fasaha na tunapozungumzia fasaha tunaainisha kila kilicho fasaha ndani ya jamii, hivyo ni wajibu wa ki...
Hili hapa ni darasa la Tano katika shule moja ya jijini Mbeya hivi ndivyo wanasoma kila siku,huamka alfajiri kuwahi shule kusoma katika maz...
Hawa ni miongoni mwa wanafunzi lukuki nchini ambao wanahitaji kupata elimu, na ndio Mawaziri na wanasiasa wa kesho hawa,Mheshimiwa fulani a...
Hivi ndivyo ilivyokuwa katika maelewano ya bei....jamaa ilibidi atumie lugha ya ishara lakini wapi hakukuwa na maelewano biashara ya vijimb...
Juni 16, kila mwaka ni siku ya kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika, ikiwa ni kumbukumbu kwa watoto waliouawa kikatili huku katika kitongoji...
Watoto hawa wa shule ya msingi ya Igangwe iliyopo katika kata ya Mtanila wilayani Chunya wakiburudika kwa maji baada ya kushikwa na kiu, mm...
Mambo vipi washikaji, mngali mpo katika vitundu vyenu ama mmeamka kutafakari ya dunia, yale yawatafunayo na yale muyatafunayo, mkitafuna ju...