Ads (728x90)

OFISA HABARI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII TULIZO KILAGA AKIFAFANUA JAMBO KUHUSU ZIARA YA WANAHABARI KATIKA KIMONDO
KIBAO KINACHOELEKEZA KILIPO KIMONDO KUTOKA BARABARANI KIJIJI CHA NDOLEZI WILAYANI MBOZI

WANAHABARI KUTOKA VYOMBO MBALIMBALI WAKIONGOZWA NA OFISA HABARI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII TULIZO KILAGA (MWENYE KAMERA)WAKIELEKEA KWENYE KIMONDO

KIMONDO CHENYEWE NI HIKI KINADAIWA KUONEKANA MWAKA 1930 NA KUINGIZWA KATIKA MAMBO YA KALE MWAKA 1931

MHIFADHI MKUU WA MAMBO YA KALE FILMERICK BASANGE AKIELEZEA HISTORIA YA KIMONDO HICHO KWA WANAHABARI WALIOTEMBELEA

MHIFADHI MKUU WA MAMBO YA KALE FIMERICK BASANGE AKIONESHA ENEO AMBALO KIPANDE CHA JIWE LA KIMONDO KILIKATWA NA KUPELEKWA KUFANYIWA UTAFITI










Post a Comment

  1. Teh, teh, Mmependeza jamani dah!especially picha tatu za mwisho!

    ReplyDelete