 ALHAD MUSSA AWAPIGA MKWARA REDIO IMAAN
ALHAD MUSSA AWAPIGA MKWARA REDIO IMAAN
SHEKHE MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM,(BAKWATA) ALHAD MUSSA AMEKIPIGA MKWARA KITUO CHA REDIO CHA KIISLAMU REDIO IMAAN FM KINACHORUSHA MASAFA ...
Burudika, Habarika, Elimika
 ALHAD MUSSA AWAPIGA MKWARA REDIO IMAAN
ALHAD MUSSA AWAPIGA MKWARA REDIO IMAAN
SHEKHE MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM,(BAKWATA) ALHAD MUSSA AMEKIPIGA MKWARA KITUO CHA REDIO CHA KIISLAMU REDIO IMAAN FM KINACHORUSHA MASAFA ...
BAADHI YA WATOTO WA JIJINI MBEYA WAKISHEREHEKEA SIKUKUU YA EID EL FITRI IKIWA NI ISHARA YA KUMALIZIKA KWA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN.
Haya ndio maisha yake na ndivyo anavyotembea maisha yake yoote!!! anahitaji msaada msaidie!!! anaishi Jijini Mbeya anahitaji angalau baiskel...
MAISHA ya watu wa kawaida maeneo mengi ya vijijini hukumbwa na misukosuko anuai ikiwemo kukosekana kwa huduma muhimu za afya,elimu,maji, ny...
BAADHI YA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WAKIOMBA DUA MARA BAADA YA KUSWALI SWALA YA IDD EL FITRI KATIKA MAENEO YA KWIANJA NGOMA SOKOMATOLA JIJ...
 TAARIFA ZA MWEZI KUANDAMA
TAARIFA ZA MWEZI KUANDAMA
KWA MUJIBU WA TAARIFA ZA WATU KUTOKA WILAYA YA MASASI MKOANI MTWARA NI KWAMBA MWEZI WA MFUNGO MOSI UMEANDAMA IKIWA NI KUKAMILIKA KWA MWEZI ...
KIJANA HUYU AMBAYE HAKUFAHAMIKA JINA LAKE ALIKUMBWA NA UMAUTI KWA KUPEWA KIPIGO KUTOKA KWA WANANCHI WANAODAIWA KUWA NI WENYE HASIRA KALI BA...
Nyumba iliyopo katika kijiji cha Bara wilayani Mbozi ikiwa imebomoka baada ya mti ulio jirani na nyumba hiyo kukatwa bila utaratibu. Wakaz...
 Bye Bye Ramadhan
Bye Bye Ramadhan
Kwa Heri ya Ramadhani, ulikuwa mwezi mwema, Umetunuku watu shani,Kwa madhambi kuungama, Mwezi tuliutamani,kama uwe mwaka mzima, Kwa heri ...
 KWA HERI EWE RAMADHAN!!...MWEZI WA IBADA!!
KWA HERI EWE RAMADHAN!!...MWEZI WA IBADA!!
Mwezi mtukufu wa Ramadhan ndio unafikia ukingoni,tunatarajia ipatikane athari kwa watu kufanya ibada na kila jambo jema,Inshaallah!!
 KUMI LA MWISHO RAMADHAN
KUMI LA MWISHO RAMADHAN
MATENDO MEMA NA MAADILI NDIO URITHI WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI KILA MJA ANAPASWA KUKUMBUKA MEMA ALIYOYACHUMA KUTOKANA NA MFUNGO WA RAMADH...
BAADHI YA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU MJINI VWAWA WILAYANI MBOZI MKOANI MBEYA WAKIANGALIA BIDHAA MBALIMBALI NJE YA MSIKITI WA NNUUR MJINI ...
WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WAKITOKA KATIKA IBADA YA SWALA YA IJUMAA JIJINI MBEYA JANA,MWEZI HUU UMEKUWA NI MWEZI WA TOBA WAISLAMU KOTE DU...
 RAMADHAN, KUMI LA PILI LA 'MAGHUFIRA'
RAMADHAN, KUMI LA PILI LA 'MAGHUFIRA'
Ni kumi la pili katika mwezi mtukufu wa Ramadhan ambalo ni kumi la Maghufira,waislamu baada ya kukubaliwa ibada yao ya funga katika kumi l...
 LEO RAMADHAN 5
LEO RAMADHAN 5
WAISLAMU HUU NI MWEZI WA KUTUBU KWA MOLA NA KUREJEA KWAKE NA KUMUOMBA MAGHFIRA KUKESHA NA KUOMBA KWA DHATI KWANI HATUJUI SAA WALA WAKATI WA ...
MKUU WA MKOA WA MBEYA JOHN MWAKIPESILE USIKU HUU NUSURA AONJESHWE NYAMA YA PANYA MAARUFU KWA JINA LA SAMAKI NCHANGA KATIKA USIKU WA VYAKULA ...
ILI KUEPUKA MSONGAMANO HUU KATIKA ENEO LA MWANJELWA JIJINI MBEYA TAASISI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA MIST WAMEKUJA NA USANIFU WA DARAJA L...
 LEO RAMADHAN 4
LEO RAMADHAN 4
MWEZI WA RAMADHAN NI MOJA KATI YA MIEZI 12 YA KIISLAMU UMUHIMU WA MWEZI HUO UNATOKANA NA UMAARUFU WAKE KWA KUWA KITABU KITUKUFU CHA QURAN KI...
 LEO RAMADHAN 3
LEO RAMADHAN 3
TUNAWASIHI WAISLAMU WAENDELEE KUDUMISHA AMANI, UNYENYEKEVU NA UMOJA KAMA VILE WALIVYOUANZA MWEZI HUU, TOFAUTI ZA ITIKADI NA KIMADHDHEBU MION...
ILIKUWA NI ENZI ZILE ZA MIAKA YA THEMANINI WAKATI JIJI LA DSM WAKIWEPO AKINA DJ JERRY KOTTO NA DJ SEYDOU KATIKA DISCO LA 9000 MBOWE HOTEL, M...
JAMAA HUYU AMBAYE HAKUWEZA KUFAHAMIKA JINA LAKE MARA MOJA AKIUCHAPA USINGIZI NDANI YA GARI ALILOKUWA AKIENDESHA KATIKA BARABARA YA JAMATINI ...
 RAMADHAN KAREEM
RAMADHAN KAREEM
MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN UMEANZA KWA KUKAMILISHA SIKU 30 ZA MWEZI WA SHAABAN JANA WAISLAMU WOTE WAMEANZA KUFUNGA, LEO HII NI MWEZI MOSI RAM...