Rais Jakaya Kikwete anakabiliwa na mzigo mzito wa Mawaziri Mzigo wanaotakiwa kuwajibika kutokana na Ukiukwaji wa Haki za binadamu ka...
NANI KATI YA HAWA KURITHI MIKOBA YA IGP SAID MWEMA!!
DCP Diwani Athumani RPC-MBEYA Ernest Mangu-RPC MWANZA DCP Thobias Andengenye aliyekuwa RPC Arusha Inspekta Jenerali wa Poli...
BABA AMTELEKEZA BINTI YAKE KILABU CHA POMBE ZA KIENYEJI
Mtoto Anna Mwakyoma anayedaiwa kutelekezwa na baba yake kilabu cha pombe za Kienyeji. -Adaiwa kuelekea kwenye machimbo ya dhahabu ...
WATOTO WATUMIKISHWA KUJENGA UWANJA WA KUMBUKUMBU YA SOKOINE BILA MALIPO
Upandaji wa nyasi ukifanywa na watoto katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya Watoto wakichukua nyasi kwa ajili ya k...
KAKA AKIRI KUMCHINJA MDOGO WAKE BAADA YA BABA YAKE KUMUANDIKISHA MALI ZOTE MTOTO WA MKE MDOGO
Mtoto Kalebu Simwelu(6) enzi za uhai wake, mtoto huyu alichinjwa na kaka yake kwa madai kuwa baba yake alimrithisha mali zote. Mwili w...
KUTANA NA MWANAMKE PEKEE MKOANI MBEYA 'ANAYEPIGA' MASHINE KUBWA ZA MGODINI
Never Mwambinga(38) mwanamke pekee anayeendesha mashine kubwa za mgodini akiwa katika mashine aina ya Damper Heavy Duty 40 tones ambalo hu...
TCRA ILIVYOWANOA WAHARIRI NA WATAYARISHAJI WA VIPINDI WA REDIO MBALIMBALI KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI
Meneja Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano TCRA Innocent Mungy akisisitiza jambo katika kikao cha wahariri, waandaaji wa vipindi vya Redio kwen...
PICHA ZA MSIBA WA WATOTO WA DIWANI WALIOUAWA KINYAMA TUNDUMA
Diwani wa kata ya Nkangamo Weston Simwelu akifarijiwa na Diwani mwenzake wa Kata ya Tunduma Frank Mwakajoka mara baada ya Bw. Simwelu kufi...