![]() |
Baadhi ya Wachimbaji wadogo wakihahakusaka maji katika maeneo ya migodi ya dhahabu wilayani Chunya |
![]() |
Adha hii ya maji huwapata wachimbaji na kusababisha wapate magonjwa ya matumbo mara kwa mara |
![]() |
Gudulia moja la maji huuza kati ya sh. 300 hadi 500 |
Burudika, Habarika, Elimika
Post a Comment