Ads (728x90)

Kuelekea shuleni
Ukiangalia kwa nje majengo yanavutia lakini ukiingia ndani yanatia aibu wanafunzi wanaketi sakafuni hakuna madawati

Shule ya Msingi Mbata kama inavyoonekana kwa mbali

Wanafunzi wa darasa la nne katika shule ya Msingi Mbata kata ya Ghana Jijini Mbeya wakiandika wakiwa sakafuni kutokana na uhaba wa madawati shuleni hapo

Hii ndiyo hali halisi ya wanafunzi katika shule ya Msingi Mbata kama walivyokutwa na mpiga picha wetu

Baadhi ya madarasa yalikuwa yamebomoka sakafu zake na hivyo kusababisha vumbi darasani kama inavyoonekana pichani

Post a Comment