Ads (728x90)

Jarida Jipya la aina yake kwa ajili ya matangazo mkoani Mbeya, linakujia hivi punde, ni fursa adhimu ya kipekee kwa watangazaji wa huduma mbalimbali za kijamii, kama vile uuzaji wa bidhaa mbalimbali, mahoteli,usafirishaji,maduka ya vifaa vya maofisini, shule za msingi na sekondari nk, aidha kutakuwa na fursa ya kipekee kwa toleo linalofuata kwa wale watakaojitokeza kutangaza kwa mara ya kwanza katika Jarida hili lenye mfumo wa kipekee hapa nchini, Wahi Sasa!! kwa mawasiliano zaidi  tutwangie kwa nammba  0767-412176,0715-599646 na 0767-310096.

Post a Comment