Ads (728x90)

Baadhi ya wanahabari wa mikoa ya Katavi na Rukwa wakiwa katika mafunzo ya juu ya utafiti wa masuala ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watotoWanahabari wa mikoa ya Katavi na Rukwa wakiwa katika majadiliano ya vikundi juu ya masuala ya habari za Ukatili wa Kijinsia kwa wanawake na watoto

Mwandishi wa habari Juddy Ngonyani akielezea kisa mkasa juu ya matukio ya Habari za Ukatili wa Kijinsia dhidi ya wanawake na watoto

Mwandishi wa Habari Petty Siyame akielezea Kisa Mkasa juu ya tukio alilowahi kuripoti juu ya Habari za Ukatili wa Kijinsia kwa wanawake.
Wanahabari wakiwa katika kazi za vikundi  kujadili masuala ya ukatili wa kijinsia dhdi ya wanawake na Watoto


Mwanahabari Petty Siyame akiwasilisha maelezo katika mjadala wa vikundi kuhusu masuala ya Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na watoto

Kazi za Vikundi

Majadiliano ya Vikundi
Mwanahabari Venance Matinya akiwasilisha moja ya kazi za Vikundi


Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa waandishi wa habari yaliyofadhiliwa na Chama Cha Waandishi wa Habari TAMWA wakiwa katika picha ya pamoja

Post a Comment