| Bweni la wasichana Shule ya Sekondari Chitete ambako Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro alipotembelea hivi karibuni |
| Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro alipotembelea shule ya Sekondari ya Chitete iliyopo wilayani Momba mkoani Mbeya |
| Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kanodro akisisitiza jambo alipotembelea shule ya Sekondari Chitete wilayani Momba hivi karibuni |
| Kandoro akipata maelezo kutoka kwa mwanafunzi wa shule ya Sekondari Chitete katika chumba cha Maabara (PICHA NA MAELEZO NA SHOMI MTAKI- TUNDUMA) |
Post a Comment