|  | 
| Baadhi ya mashabiki wakiigiza namna ambavyo wataiadhibu timu ya Simba katika mchezo unaotarajiwa kuchwezwa katika dimba la Sokoine Jijini Mbeya leo jioni. | 
|  | 
| Mashabiki wa Mbeya City wakijimwaya mwaya kuashiria kushinda mechi ya leo baina ya timu yao na Simba | 
|  | 
| Kama ilivyo ada kwa mechi kubwa kubwa machinga nao wakiwa katika harakati za kujipatia riziki ya kuuza jezi za timu mbalimbali wakati wa mechi za ligi kuu | 
|  | 
| Mashabiki wakiwa wamejipanga foleni kwa ajili ya kuingia uwanjani muda huu | 
|  | 
| Mashabiki wakiingia ndani ya uwanja wa Sokoine muda huu | 
|  | 
| foleni kwa ajili ya kukata tiketi | 
















Post a Comment