Ads (728x90)

Ndugu msomaji wa mtandao huu nakusihi ukiwa kama mzalendo wa nchi hii unayeishi katika nchi iliyojaa amani na utulivu,utajiheshimu wewe binafsi wakati unachangia mada yoyote katika mtandao huu, hiki ni chombo cha habari kama viliyo vyombo vingine ambacho kina nafasi ya kuelimisha, kuhabarisha na kuburudisha, naamini msomaji wangu utazingatia maadili kwa kuchangia mada kwa kufuata utaratibu unaofuata taratibu za nchi yetu, hoja yoyote isiyozingatia maadili NITAIFUTA NA KUDELETE KABISAAAA!!!!!!!


Post a Comment