Ads (728x90)

 
Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Jijini Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa kampuni ya vinywaji aina ya Coca Cola pamoja na waratibu wa Mashindano ya Mastala Cup yanayotarajiwa kuanza Mei 14 katika viwanja vya Mwenge Jijini Mbeya.
Meneja Usambazaji wa Kampuni ya Coca Cola Kanda ya Mbeya Emmanuel Bunyoga akizungumzia ufadhili wa kampuni hiyo kwenye mashindano ya Mastala Cup.

Mratibu wa mashindano ya Mastala Cup Willy Mastala akisoma ratiba ya mashindano hayo ambayo yanatarajia kushirikisha jumla ya timu 20 katika Viwanja vya Mwenge Jijini Mbeya.

Meneja Mauzo Kampuni ya Coca Cola Kanda ya Mbeya Jayanti Vekaria akielezea namna ambavyo kampuni hiyo imefanikiwa kuibua vipaji vya wanasoka kupitia mashindano mbaalimbali yanayodhaminiwa na kampuni hiyo.
Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Mastala Cup, Brandy Nelson akielezea mkakati wa mashindano hayo.
Baadhi ya waandishi wa habari walioshiriki kikao kati ya Uongozi wa Kampuni ya vinywaji vya Cocacola na waratibu wa mashindano wakijitambulisha.
Ratiba ya Mashindano ya Ligi ya Mastala Cup

Post a Comment