Ads (728x90)

Mkuu wa wilaya ya Kyela Margreth Malenga pamoja na Mofisa wa NHC mkoa wa Mbeya wakibeba ikiwa ni ishara ya makabidhiano kwa bati 320 zenye thamani ya sh. milioni 8 kwa ajili ya wahanga wa mafuriko wilayani KyelaMeneja wa NHC mkoa wa Mbeya Antony Komba akimkabidhi bahasha yenye fedha taslimu sh.laki 5 Mkuu wa wilaya ya Kyela Margreth Esther Malenga kwa ajili ya mafuta ya kusafirishia bati kuwapelekea wahanga wa mafuriko wilayani humo.
 


Mkuu wa wilaya ya Kyela akisalimiana na Meneja wa NHC Mkoa wa Mbeya Antony Komba, Komba na maofisa wa NHC walifika ofisi ya Mkuu wa wilaya kwa ajili ya kukabidhi msaada wa bati kwa wahanga wa mafuriko Kyela.

Post a Comment