Ads (728x90)

Rais wa Chama cha Msalaba Mwekundu  Dkt George Nangale akiwasili katika viwanja vya Ruanda Nzovwe kwa ajili ya uzinduzi wa siku ya Msalaba mwekundu inayofikia kilele chake Mei 8 Jijini Mbeya.












Maandamano ya skauti na shule mbalimbali za sekondari yakiingia katika viwanja vya Ruanda Nzovwe kwa ajili ya uzinduzi wa siku ya Msalaba mwekundu duaniani







Viongozi wa chama cha Msalaba mwekundu wakiwa wameshikana mikono kuashiria umoja na mshikamano


Maadhimisho ya siku ya Msalaba mwekundu yalizinduliwa kwa mchezo wa mpira wa miguu kwa wachezaji wa chini ya miaka 14


Rais wa chama cha Msalaba mwekundu na hilali nyekundu Dkt. George Nangale (katikati) Mkurugenzi wa Maendeleo wa chama hicho Julius Kejo wa (kwanza kulia)na Mwenyekiti wa chama cha Msalaba mwekundu mkoa wa Mbeya Ulimboka Mwakilili wa (pili kutoka kushoto) walipozungumza na waandishi wa habari juu ya maadhimisho ya siku ya Msalaba mwekundu duniani yanayotarajiwa kufanyika Jijini Mbeya Mei 8 mwaka huu.


 




Rais wa chama cha Msalaba mwekundu nchini Dkt George Nangale akiwa katika kikao na waandishi wa habari leo asubuhi katikia hotel ya Paradise Jijini Mbeya



Post a Comment