![]() |
Mkongwe wa habari nchini Ndimara Tegambwage akitoa somo kwa wanahabari kwenye ukumbi GR Hotel mchana huu |

![]() |
Mtangazaji Mkongwe na mwandishi wa Habari Edda Sanga akitoa nasaha juu ya uandishi wa habari zenye weledi na umakini |
![]() |
Add caption |
![]() |
Baadhi ya wanahabari wakifuatilia kwa makini mafunzo kuhusu uandaaji wa wazo na kuandika mpango kazi kwa ajili ya kuomba ruzuku kutoka mfuko wa TMF |
Post a Comment