Ads (728x90)

Ezekiel King enzi za uhai wake
Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi Sugu(kulia) akiwa na Mwenyekiti wa wilaya ya Mbeya mjini Joh Mwambigija wakiusukuma mwili wa marehemu katika toroli maalum la hospitali ya Rufaa Mbeya
Mke wa Marehemu akipewa faraja katika hospitali ya rufaa Mbeya
..Taarifa kamili za tukio la msiba huu zitakujia hapa hapa baadaye endelea kutembelea mtandao wako unaohabarisha habari za ukweli kwa UFASAHA....

Post a Comment