| Askari wa kikosi cha FFU wakiendelea kuranda mitaani kuhakikisha hali ya usalama inarejea katika mitaa ya soko la Mwanjelwa na SIDO jijini Mbeya |
| Maduka yaliendelea kufungwa huduma muhimu kwa mahitaji ya wakazi wa Jiji la Mbeya ziliendelea kusimama kwa siku ya pili mfululizo |
| Hatimaye gari la upupu lililazimika kutumika kuwatawanya wafanyabiashara walioendelea kukaidi amri ya jeshi la Polisi kuwataka watawanyike |
| Askari wa FFU wakiwa tayari kukabiliana na vurugu zozote |
Post a Comment