Ads (728x90)

Hatari katika lango la timu ya Kagera Sugar, wachezaji wa timu ya Kagera wakijitahidi kuokoa hatari katika lango la timu yao katika mchezo wa mechi ya Ligi Kuu iliyozikutanisha timu hizo na kutoka sare ya bao 1-1

Wachezaji wa timu ya Prison wakiingia uwanjani baada ya mapumziko

Wachezaji wa timu ya Kagera Sugar kutoka kushoto Malegesi Mwangwa,mlinda mlango Hanington Kalyesubila,Temi Felix na Paul Ngwai wakiingia uwanjani baada ya kutoka mapumziko katika mechi ya timu yao na Prison, timu hizo zilitoka sare ya Bao 1-1Hatari katika lango la timu ya Kagera, hatari golikipa ameufuata mpira

Hatari katika goli hatimaye Kagera Suga wanajifunga goli hapa mpira uliotoka beki  wa timu ya Kagera Ernest Mwalupani alimpasia golikipa mpira ukamponyoka na kutinga wavuni, ilikuwa ni dakika ya 86 ya mchezo.

Kocha wa timu ya Prison Jumanne Charles ambaye wapenzi wa soka mkoani Mbeya wameulaumu ufundishaji wake na kusababisha timu ya Prison kushindwa kufanya vizuri katika ligi hiyo.

Post a Comment