Basi la timu ya Tanzania Prison ambalo linadaiwa kuvunjwa vioo na mashabiki wa timu ya Mbeya City mara baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya timu hizo, Mbeya City ilishinda bao 2-0 |
Kioo cha nyuma cha Basi aina ya Coaster lenye namba za usajili MT 0081 mali ya Jeshi la Magereza kikiwa kimevunjwa na watu wanaodaiwa kuwa ni mashabiki wa Mbeya City. |
Mchezaji wa timu ya Tanzania Prison Salum Kimenya akiwa ameumizwa mkono na watu wanaodai kuwa ni mashabiki wa timu ya Mbeya City. |
Mchezaji wa Prison Ibrahim Mamba ambaye pia anadaiwa kujeruhiwa na watu wanaodaiwa kuwa ni mashabiki wa timu ya Mbeya City. |
Wachezaji wa Tanzania Prison waliojeruhiwa |
Gari aina ya Corolla ambalo linadaiwa kuharibiwa na watu wanaodaiwa kuwa ni mashabiki wa timu ya Prison. |
Mmoja wa mashabiki wa timu ya Mbeya City Simon Mwakatobe akielezea namna ambavyo wachezaji wa timu ya Prison walivyoshuka kwenye gari lao na kuanza kurusha mawe kwa mashabiki wa Mbeya City. |
Mshabiki wa timu ya Mbeya City Furaha Sankey naye akielezea namna ambavyo wachezaji wa Prison walivyoanza kuwarushia mawe mashabiki wa Mbeya City. |
Willy Mastala akionesha jeraha la kirungu alichopigwa na askari polisi mara baada ya kumalizika kwa mechi kati ya Mbeya City na Prison. |
Mwenyekiti wa Mbeya City tawi la Mwanjelwa, Willy Mastala |
Gari la timu ya Tanzania Prison linavyoonekana kwa mbele |
Gari la timu ya Prison linavyoonekana mara baada ya kuvunjwa vioo na watu wanaosadikiwa kuwa ni mashabiki wa Mbeya City. |
Post a Comment