Ads (728x90)Chakula ni Uhai, ukikaa bila kula kwa muda mrefu chochote utakachokiona utakitamani, hasa ukiwa katika mazingira ya nje na maeneo unayoishi, ukiwa maeneo ya vijijini utainjoi kupata ladha nyingine ya aina ya vyakula ambavyo hujavizoea, hapa jamaa washikaji Rashid Abdallah (DJ SHIBOBO) na Abrahamu Mwaipopo(MALAFYALE)  wakiwa field katika kijiji cha Msia huko wilayani Ileje wakifakamia mishikaki ya nyama ya Mbuzi ambayo kwa mujibu wa maelezo yao ilikuwa ni tamu kuliko ile waliyoizoea kula mjini,jamaa hapa alilazimika kuangusha mbele ya watu baada ya kuionjoi ladha tamu ya mbuzi wa kijijini...chezea Mbuzi Choma!! wewee!!

Post a Comment