![]() |
| Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Ngana wilayani Kyela wakifuatilia kwa makini mkutano wa elimu juu ya mwenendo wa athari za tabia nchi na uharibifu wa mazingira |
![]() |
| Baadhi ya watoto ambao ndio wanufaika wa baadaye wa utunzaji wa mazingira wakifuatilia mkutano wa elimu juu ya athari ya tabia nchi |
![]() |
| Katibu tarafa wa tarafa ya Unyakyusa Kheri William ambaye alimuwakilishi Mkuu wa wilaya Kyela akisisitiza umuhimu wa utunzaji wa mazingira kwa manufaa ya vizazi vijavyo |
![]() |
| Katibu wa Mtandao wa Asasi zisizo za kiserikali mkoa wa Mbeya MBENGONET Bw. Kitta akifafanua jambo wakati mkutano juu ya utunzaji wa mazingira |
![]() |
| Wanafunzi wa shule ya Msingi Ngana iliypo wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wakishiriki katika mkutano wa elimu juu ya mewenendo na athari za tabia nchi na utunzaji mazingira |










Post a Comment