Ads (728x90)

Mama Pili Mtambalike kutoka Baraza la Habari Tanzania(MCT)
Innocent Mungy wa TCRA akitoa mada siku ya mwisho ya mafunzo kwa blogers wa Tanzania
Mkurugenzi Mkuu wa Jamii Forum Maxence Melo akielezea changamoto walizokutana nazo katika uendeshaji wa mtandao wa Jamii Forums
Wakurugenzi wa Jamii Forums kutoka (kushoto) Mike Mushi na Maxene Melo wakiwa katika mafunzo maalumu kwa Blogers wa Tanzania, mafunzo yaliyoendeshwa na TCRA
Mama Pili Mtambalike kutoka Baraza la Habari Tanzania (MCT)na Innocent Mungy wakijadili jambo katika mafunzo kwa Blogers wa Tanzania
Mwandishi wa Blogu hii Rashid Mkwinda akielezea uzoefu wake na changamoto alizokutana nazo kwa  miaka 8 tangu kuanza kublog
Mmoja wa wakurugenzi wa Tone Media Group Fred Njeje akielezea uzoefu wake wa kublog na changamoto za blogers wa Tanzania  Kimataifa
Mwandishi wa Blog hii akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa TCRA Profesa John Nkoma kutambua mchango wake wa kublog na mawasiliano ya mitandao ya Kijamii nchini
Mwandishi Mkuu wa Blog ya Mbeya Yetu Joseph Mwaisango akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa TCRA katika kutambua mchango wake wa kublog na mawasiliano ya mitandao ya Kijamii nchini
Jeff Msangi wa Bongo Celebrity akielezea akiishukuru kwa niaba ya Blogers wa Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA kutambua mchango wa Blogers katika maendeleo ya nchini katika nyanja za  kiuchumi kijamii na kisiasa
Blogers

Post a Comment