Ads (728x90)

Uzinduzi wa Ushirikiano wa timu ya FC Barcelona na Bia ya Castle Lager jijini Mbeya

Waendesha Bodaboda wakishiriki katika maandamano ya uzinduzi wa Ushirikiano wa Bia ya Castle Lager na Timu ya Barcelona jijini Mbeya
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL wakishiriki maandamano ya Uzinduzi wa Ushirikiano wa Bia ya Castle Lager na timu ya Barcelona


Brass Band ya Jeshi la Magereza Kiwira ikiongoza maandamano ya uzinduzi wa Ushirikiano wa Bia ya Castle Lager na timu ya FC Barcelona jijini Mbeya.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Bia ya TBL wakiingia katika kiwanda cha Bia eneo la Iyunga baada ya kukamilisha maandamano ya uzinduzi wa Ushirikiano wa Bia ya Castle Lager na timu ya FC Barcelona

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Bia ya TBL wakicheza muziki wakati wa uzinduzi wa Ushirikiano wa kinywaji cha Castle Lager na timu ya FC Barlcelona

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL wakishiriki katika uzinduzi wa ushirikiano wa kinywaji cha Castle Lager na timu ya FC Barcelona katika nchi za Afika jijini Mbeya.Kikundi cha sanaa kikitumbuiza wafanyakazi wa kampuni ya TBL wakati wa uzinduzi wa ushirikiano wa kinywaji cha Castle lager na timu ya FC Barcelona jijini Mbeya

Post a Comment