Ads (728x90)

Mwezeshaji wa mafunzo ya uchumi kwa wanahabari mkoani Mbeya, Mnaku Mbani akiendesha mafunzo kwa wanahabari wa mkoa wa Mbeya katika ukumbi wa Chuo cha Wafanyakazi OTTU
Baadhi ya wanahabari wa mkoa wa Mbeya wakifuatilia kwa makini mafunzo ya Biashara na Uchumi katika ukumbi wa Chuo cha Wafanyakazi OTTU
Mwezeshaji wa mafunzo ya Uchumi na Biashara Mnaku Mbani akisisitiza jambo katika mafunzo ya wanahabari mkoani Mbeya

Post a Comment