Ads (728x90)

Wachezaji wa timu ya JKT Mbweni wakimzonga refarii wa mchezo huo Christopher Eliachimu kwa madai ya uchezeshaji mbovu

Wachezaji wa timu ya JKT Mbweni wakitoka nje ya uwanja


Wachezaji wa timu ya JKT Mbweni wakiwa nje ya uwanja baada ya madai ya uchezeshaji mbovu wa refarii Christopher El;iachimu

Furaha ya Ushindi kwa timu ya Philbet Bayi


Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo akimpongeza Philibert Bayi, Mkurugenzi wa timu ya Philbert Bayi ambayo imeibuka Bingwa wa Taifa wa mashindano hayo

Mwenyekiti wa Chama Cha Netiboli Taifa Anna Kibira akitoa nasaha mara baada ya kumalizika kwa ligi ya Taifa ya Netboli katika uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya jioni hii.


Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo akimpongeza mchezaji bora kutoka timu ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya (HAMAMBE)

Mashabiki wa timu ya Filbert Bayi wakiwa wamebeba kombe baada ya kutawazwa mabingwa wa Taifa wa Netboli

Refarii aliyechezesha fainali ya ligi ya Netbali kati ya timu ya JKT Mbweni na Filbert Bayi Christopher Eliachim ambaye uchezeshaji wake ulisababisha timu ya JKT Mbweni kusususia mchuano huo zikiwa zimesalia dakika 5 huku timu ya Filbert Bayi ikiongoza kwa magoli 22- 21

Post a Comment