Ads (728x90)

Leo nchi ya Kenya imekamilisha siku tatu za maombolezo kufuatia tukio la kigaidi na uvamizi wa jengo la Kiboashara la Westgate nchini Kenya ambapo watu wanaokadiriwa 70 waliuawa.
Tukio hilo limevuta hisia dunia nzima hususani nchi za Afrika Mashariki na kuibua hofu kuu ya mtandao wa kigaidi uliogubikwa na mwavuli wa makundi ya Alqaida, Alshababy na Boko Haram.
Tukio hili la nchini Kenya linawakumbusha Waafrika Mashariki matukio kama hayo ambapo nchini Uganda uvamivi na mauaji yanayoshabihiana na hayo yalitokea ambapo pia Septemba 11 mwaka 2008 kulitokea uvamizi wa balozi za Marekani nchini Kenya na Uganda sanjari na uvamizi wa jengo la kibiashara la World Trade Center na Pentagon nchini marekani na kusababisha mauaji ya mamia ya watu na wananchi ambapo taswira ya jambo hili lilitafsiri dhana ya ugaidi ambao ulielekezwa fikra kwa makundi ya Waislamu wenye msimamo mkali.

Add caption

Post a Comment

 1. PROMO DELIMA
  poker online | Agen Domino | Agen Poker|Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | bandar qiu | Judi online terpercaya

  Bonus yang kami sediakan :
  * TO (Turn over) sebesar 0.3% yang akan di kami bagikan setiap hari senin
  * Bonus referal sebesar 10%

  Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
  Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat.
  Come join and be a winer with us !!

  Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
  Livechat_____: delimapoker
  BBM__________: 7B960959
  Facebook_____: Facebook
  Phone number_: +85595678845

  ReplyDelete