Ads (728x90)

 Mashabiki wakiwa katika foleni ya kukata tiketi kuingia Uwanja wa Sokoine muda huu
Wapenzi wa kabumbu wakiwa wamepanga foleni katika mlango wa kuingilia uwanja wa Sokoine


Machinga nje ya Uwanja wa Sokoine
Machinga wakiwa katika biashara nje ya Uwanja wa Sokoine
Dimba la Sokoine ambalo leo jioni litawaka moto kati ya Yanga na Mbeya City
Kocha wa timu ya Mbeya City Juma Mwambusi (mwenye gazeti) akiteta jambo na kiongozi wa timu ya Yanga mara baada ya kutoka katika kikao cha awali Pre Match katika uwanja wa Sokoine jijini

Baadhi ya madhabiki wa kabumbu wakiwa mlangoni muda huu kwa ajili ya kuingia uwanjani kwa ajili ya mechi kati ya Mbeya City na Yanga

Baadhi ya wakazi wa Jiji la Mbeya wakikata tiketi kwa ajili ya Mechi ya Ligi Kuu kati ya Mbeya City na Yanga

Post a Comment