Ads (728x90)

Mke wa marehemu akisaidiwa kuweka shada la maua katika kaburi la mumewe wakati wa mazishi yaliyofanyika shambani kwa marehemu Mtaki eneo la Mpemba
Marehemu Shomi Mtaki enzi za uhai wake
Ni kama alikuwa akiashiria kuaga ndugu zake
Safari kutoka chumba cha maiti Hospitali ya Wilaya Vwawa Mbozi
Safari inaendelea kurejea nyumbani kwa ajili ya maandalizi ya mazishi
Hatimaye msafara unaingia Tunduma mjini

Kuelekea nyumbani kwa marehemu Mtaki
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu likiingizwa nyumbani
Add caption
Ndugu jamaa na marafiki wakiwa wanaomboleza kifo cha Mpendwa wao Shomi Mtaki
Mwakilishi wa waandishi wa habari Ulimboka Mwakilili akitoa salamu za rambi rambi kutoka kwa waandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya
Mwakilishi wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo mkoani Mbeya Solomon Mwansele akitoa salamu za rambi rambi kutoka Makao makuu ya magazeti hayo, hadi kifo chake Marehemu Mtaki alikuwa Mwandishi wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo
Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Waandishi wa habari mkoa wa Mbeya Christopher Nyenyembe akifuatiwa na Mweka hazina wa Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Mbeya Brandy Nelson wakimfariji mjane
Msafara kuelekea katika kanisa la Moravian Usharika wa Tunduma
Msafara unaelekea kanisa la Moravian
Mke wa Marehemu Shomi Mtaki, Roza Mtaki Kabuje akisindikizwa kuweka shada la maua katika kaburi la mumewe wakati wa maziko shambani kwake Mpemba.
Mke wa marehemu akilia kwa uchungu wakati wa kuweka shada la maua katika kaburi la mumewe huku akisaidia na baadhi ya waombolezaji.
Mkuu wa wilaya ya Momba Abihudi Saideya akiweka shada la maua katika kaburi la Shomi Mtaki shambani kwake Mpemba-Tunduma

Post a Comment